Hii ndio Program inayofanya kazi ya ku-flash na ku-unlock simu za kichina Bila Box kulingana na chipset zake. mfano wa chipset ni kama MTK, SPD, RDA, MSTAR/WT n.k
Haijalishi ni simu ndogo mfano kama tecno (t340 au itel it5300). au smartphone.
Kwa simu za kisasa smartphone zinazutumia chipset za MTK au SPD ina uwezo wa kuzisoma parttern au password na kutoa lock bila ku-format/ku-hard reset ,pia inatoa networck lock kwa bahadhi ya simu ili simu iweze kutumia laini ya mtandao wowote[kwa qualcomm], pia inaflash mafile yaliyopo katika format ya scatter kama wengine wanaoyatumia katika (sp flash tool) na bin na nyinginezo,
inatoa Factory reset protection {FRP} kwa simu za MTK, SPD, na QUALCOMM ambazo zimewekewa hiyo option .
Kwa upande wa samsung ina uwezo wa kutoa pattern bila ku-format/ku-hard reset (baadhi ya model)
Kwa upande wa HUAWEI ina uwezo wa kutoa network lock kwa baadhi ya model zinazotumia cpu ya {Qualcomm}
KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU MANENO AU MAJINA YA VITU VILIVYOONGELEWA KATIKA POST. WASILIANA NA MIMI KATIKA ANUANI ZANGU HAPO CHINI
NATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUFLASH NA KUUNLOCK SIMU AU KUHUSU UPANDE WA SOFTWARE KWA UJUMLA POPOTE PALE ULIPO KUPITIA MTANDAO.
17 comments:
kwan unaiuza? toa bure tu man
# coiledtz.blogspot.com
safi sana
safi sana
safi sana
good nimependa kujifunza kupitia kwako
no paswad
naomba msada Nina Simu yangu ilizima sasa hivi nikiwasha inatokea Yale maneno km vile unataka Ku hard resert yani km nimebonyeza power of + volume + home botton lakini chini kabisa kuna maneno
NO SUPPORTED single-
DM
naomba nichek 0621586339
Mbona upatikan
pasword kaka
Namba zangu zote zinapatikana. ukiwa na tatzo unanicheck. tena kwa sasa natoa bure. ni wewe tu na kichwa chako
Nina Sim aina ya sumsung sawa nime restore kwa bahat mbaya sawa inaleta niweke mipangilio ya Sim pamoja na data nafanyanye na account Yangu ikitokea nimesahau password yangu
Hata saivi au ni zamani sana please
Password kaka mkubwa
Nataka kudownload hiyo software
nahitaji hardware device ya kuflash kama unayo niuzie
Ok kijna nimekuelewa
Post a Comment