MUSSA MATELEPHONE

MUSSA MATELEPHONE

Thursday 8 December 2016

PROGRAM YA KUFLASH SIMU NDOGO NA KUBWA ZA KICHINA NA ORGINAL

Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu kinavyoeleza,
Hii ndio Program inayofanya kazi ya ku-flash na ku-unlock simu za kichina Bila Box kulingana na chipset zake. mfano wa chipset ni kama MTK, SPD, RDA, MSTAR/WT n.k

Haijalishi ni simu ndogo mfano kama tecno (t340 au itel it5300). au smartphone.

Kwa simu za kisasa  smartphone zinazutumia chipset za  MTK au SPD ina uwezo wa kuzisoma parttern au password na kutoa lock bila ku-format/ku-hard reset ,pia inatoa networck lock kwa bahadhi ya simu ili simu iweze kutumia laini ya mtandao wowote[kwa qualcomm], pia inaflash  mafile yaliyopo katika format ya scatter kama wengine wanaoyatumia katika (sp flash tool) na bin na nyinginezo,
inatoa Factory reset protection {FRP} kwa simu za MTK, SPD, na QUALCOMM  ambazo zimewekewa hiyo option .

 Kwa upande wa samsung ina uwezo wa kutoa pattern bila ku-format/ku-hard reset (baadhi ya model)
 Kwa upande wa  HUAWEI  ina uwezo wa kutoa network lock kwa baadhi ya model zinazotumia cpu ya {Qualcomm}

KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU MANENO AU MAJINA YA VITU VILIVYOONGELEWA KATIKA POST. WASILIANA NA MIMI KATIKA ANUANI ZANGU HAPO CHINI

NATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUFLASH NA KUUNLOCK SIMU AU KUHUSU UPANDE WA SOFTWARE KWA UJUMLA POPOTE PALE ULIPO KUPITIA MTANDAO.

Wasiliana  na mimi katika namba 0763976109 au 0658190978  au katika Email address ya mussak32@gmail.com   trueservicetz@gmail.com     

17 comments:

Unknown said...

kwan unaiuza? toa bure tu man
# coiledtz.blogspot.com

Unknown said...

safi sana

Unknown said...

safi sana

Unknown said...

safi sana

Unknown said...

good nimependa kujifunza kupitia kwako

Unknown said...

no paswad

Tanga FOREX Class said...

naomba msada Nina Simu yangu ilizima sasa hivi nikiwasha inatokea Yale maneno km vile unataka Ku hard resert yani km nimebonyeza power of + volume + home botton lakini chini kabisa kuna maneno
NO SUPPORTED single-
DM

Unknown said...

naomba nichek 0621586339

JIBEBE MOVIES SHOP said...

Mbona upatikan

James Baltazari said...

pasword kaka

True Service said...

Namba zangu zote zinapatikana. ukiwa na tatzo unanicheck. tena kwa sasa natoa bure. ni wewe tu na kichwa chako

Unknown said...

Nina Sim aina ya sumsung sawa nime restore kwa bahat mbaya sawa inaleta niweke mipangilio ya Sim pamoja na data nafanyanye na account Yangu ikitokea nimesahau password yangu

Mwa technical said...

Hata saivi au ni zamani sana please

Gidion said...

Password kaka mkubwa

Unknown said...

Nataka kudownload hiyo software

Unknown said...

nahitaji hardware device ya kuflash kama unayo niuzie

Unknown said...

Ok kijna nimekuelewa