MUSSA MATELEPHONE
Friday, 29 July 2016
Apps ambazo ni virus katika simu za Android na surulisho lake
Kuna apps nyingi hazipo kwenye playstore kwa mfano videosex, lutu, videoder, mobogine, ambazo unazikuta kule playastore mara nyingi zinakuwa ni za uongo
Ukitaka kuzipata zile app kwa urahisi lazima uingie internet na udownkoad kwa mfumo wa apk. Au mtu kama hiyo app anayo lazima akutumia kwenye Bluetooth kwa mfumo wa app share na ukitaka kuinstall hizi apk lazima uweke sehemu moja hivi wameandi unknown apps na hii ni hatari sana na ukisha maliza kuistal ile setting bado inakuwa iko on na vailasi wanaanza kuingia muda wowote
Madhara yake unakuta sometime kunavitu vinajidownload vyenyewe mara unakuta simu imejiwasha data yenyewe au mara nyingine simu inaisha chaji haraka someti inakuwa ya moto sana hata kama hautumii nk.
Ukirestore zingine zinakubali na zingine huwa zinakataa hadi upeleke kwa FUNDI SIMU kwa upande wa software afute file lote harafu aweke lingine yaan aifanyie FULL FLASHING
Solution kama utaweza tumia app zenyewe zinapatikana kwenye playstore tu na usikubali hata kurushiwa app kwenye Bluetooth ni hatari sana.
Usumbufu mwingine ni huu hapa unfortunately com.google.something has stopped na hii solution ni hadi upeleke kwa FUNDI SIMU kwa upande wa software afute file lote then aweke lingine yaan aifanyie FULL FLASHING
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment