MUSSA MATELEPHONE

MUSSA MATELEPHONE

Sunday, 14 December 2014

Maana halisi ya kuflash simu

Kuflash Simu au kifaa chochote kile ina maana ya kwamba unakiwekea mfumo wa uendeshaji mpya au unakirudishia uleule ila ambao hausumbui kama wa kwake. kwa lugha ya kitaalamu zinatofautiana namna hii

CUSTOM ROM FLASH FILE- Mfumo mpya na ambao uko updated kwa kufanyiwa bahadhi ya marekebisho ya kupunguziwa au kuongezewa vitu vipya. maana kama kifaaa chako kinatumia mfumo ambao version yake ni 4.4.2 basi huo mfumo utakaouweka utakuwa katika version ya juu kidogo kama 4.4.4 au 5.0.1... (ni mfumo ambao unaundwa na wataalam wa kuzalisha mifumo ambao ni nje ya wataalam wa kampuni husika)

STOCK ROM FLASH FILE- Mfumo ambao utakuwa ni mpya lakin ubora wake katika version utafanana na ule uliopo au utazid kidogo kwa maana mfumo uliopo kama ni version 4.4.2 na  Stock rom flash file inaweza kuwa 4.4.2 au kuzid kidogo au zaidi. (Ni Mfumo ambao unaundwa na wataalam wa kampuni husika ya kifaa lengwa ndio maana ukaitwa stock na sio custom)

 Na mara nyingi waweza sikia kwa watu kuwa Simu ukiiflash basi ndo umehalibu, lakini sio hivyo, Kwa maana hiyo unachotakiwa kujua ni kwamba  simu ukiiflashi ndio umemaliza matatizo yote yanayohusiana na mfumo wa uendeshaji na proglamu zake kwa ujumla. Labda tatizo mara nyingi huwa  kwa mafundi kwani mafundi walio wengi wanafanya hiyo kazi kwa kukariri na wala sio kwamba wamesomea. lakin kama mimi nimesomea na nina uhakika wa kukufanyia kazi zako ipasavyo. Kama utataka msaada kuhusu matatizo ya simu yako waweza nicheki hapa-facebook,google+&Instagram 
Namba za simu 0658190978   0763976109

4 comments:

Unknown said...

Hapo nime penda sana....

True Service said...

ndo hvo Enock Senga

Unknown said...

Safi sana

True Service said...

Sawa Mkuu Leonard kabelwa