MUSSA MATELEPHONE

MUSSA MATELEPHONE

Friday, 18 August 2017

PROGRAM YA KUUNLOCK SIMU ZA ANDROID ZINAZOTUMIA CPU YA MTK

Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu.

  Hii ndo program inayoweza fanya  kazi ya Direct Network unlocking, frp reset, privacy lock reset, imei repair, firmware backup and write, n.k kwa simu zenye kutumia CPU za MEDIATEK {MTK} kama.......................................................Tecno
alcatel
huawei
vodafone
lenovo
micromax
samsung clone
zte  n.k 
unaweza kutumia hii link kudownload Mussa fast Android MTK unlocking tool download link

kwa mawasiliano nipgie 0763976109  0658190978 au nicheck kwa email mussak32@gmail.com youngmaujanja@gmail.com



No comments: